Hii Link ya Airtel Kwenye JF Imekaaje? [CLOSED: Corrected] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Link ya Airtel Kwenye JF Imekaaje? [CLOSED: Corrected]

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wikolo, Mar 9, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. w

  wikolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa naangalia link ya airtel kwenye JF ambayo inasema 'NUSU SHILINGI YA UKWELI mchana kutwa, mwanzo hadi mwisho'. Nilipojaribu kuifuatilia link hiyo nikakuta ndani ya mtandao wa airtel wanasema airtel kwenda airtel ni Tsh.1 kwa sekunde na airtel kwenda mitandao mingine nchini ni Tsh.3 kwa sekunde. Binafsi nimeshindwa kuelewa kinachoendelea hapo. Ni namna ya kurubuni au kitu gani hasa? Tafadhali mwenye taarifa zaidi anifahamishe.
   
 2. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  bombey indiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hakuna stadards Bongo, kila mtu anafanya atakalo so usishtuke.Tunasongo tu hivyo hivyo.

  N.B: probably graphic ya zamani waliyowapa JF bado wanaitumia.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...