Hii laptop ndio bei yake au napigwa?

Hii laptop ndio bei yake au napigwa?

Brand : HP 15-ac032TX Notebook (M9V12PA) Rangi ya Silver
PROCESSOR : 5th Gen Intel Core i3,procesor inaishia na 'U'
RAM : 8GB RAM
HDD :1TB
Window 10 2GB graphics

Jamaa anataka nimpe 1.2Mil,nimemshusha mpaka 1M naona anakubali...Vipi hapo jamani bei ipo sawa au nimepigwa? ni brand new ameitoka nayo Dubai.

cc Chief-Mkwawa
Chukuwa kitu hicho kwa 1M ni poa kabisa! 1TB HDD & 8GB RAM!!
 
Ukimpa hela hskikisha analipa KODI na risiti unapewa. Bila Risiti ndo utakuwa umelabuliwa!
 
Back
Top Bottom