Hii laptop inasumbua watalam

Hii laptop inasumbua watalam

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,775
Reaction score
994
Ndugu watalaam salam,
Nimenunua laptop mpya HP 650,OS yake ni UBUNTU,Nimejaribu kuweka window 7 hisomi CD ila inazunguka tu kisha inafungua UBUNTU -Na nime set I Boot kutoka katika CD ila wapi nisaidieni Wataalam
 
Jaribu kufanya kama vile unainstall Ubuntu, tumia CD ya Ubuntu, and then jaribu kufanya kama unataka ku-install Ubuntu. Inakubali? Kama inakubali, ikifika mahali pa kuchagua drive ya installation, chagua hiyo drive yenye ubuntu kwa sasa, kisha format. Ikishaformat zima computer yako na usiendelee tena na hiyo installation, badala yake, anza installation ya Windows (kwa sasa hapatakuwa na OS yoyote)
Kwani upo wapi? I hope this helps.
 
inawezekana pia cd yako inatatizo maana kama inazunguka tu na haisomi kitu...napata wasiwasi..!!
 
Cha msingi jaribu kutumia USB kwenye ku-boot. CD siyo za uhakika sana these days.
 
Back
Top Bottom