Ukweli na Uwazi
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 122
- 54
Akitokea mwanasiasa mwingine akaahidi mahakama ya kadhi, jamaa watampigia kura tena!
wanazungusha tu... mbona Kenya iliwezekana kuwekwa kwenye katiba na kuundwa kwa gharama za serikali?
mambo yote yanafanyka kama ALLAH alivyo kadiria mahakama ya kadhi muda wake ukifka tuta ipata tu. assalam alykum
Si mlishaambiwa kwamba mahakama ya kadhi RUKSA lakini undeni wenyewe nje ya mfumo wa serikali.
Serikali iliwaundia BAKWATA hadi leo mnalalamika, sasa tena mnataka SERIKALI iwaundie tena MAHAKAMA YA KADHI, hivi nyinyi watu mnafahamu mnachokitaka?!
Waislamu walishiriki katika kutoa maoni kuhusu kurejeshwa Mahakama ya Kadhi lakini hakuna aliyetegemea kuwa Warioba atatupa Mahakama ya Kadhi!
Ninachotaka kusema ni kuwa hakuna jipya! ilitegemewa na Waislamu kuwa suala la Mahakama ya Kadhi litatupwa, lakini kama wasemavyo wazungu There is always plan B.
mkuu hiyo statement yako nimeikubali, hawa jamaa hata mm siwaelewi kabisa.Si mlishaambiwa kwamba mahakama ya kadhi RUKSA lakini undeni wenyewe nje ya mfumo wa serikali.