KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,760
- 86,420
🚶Amekuzaa?
🚶Amekuzaa?
vyote vyote🙄 Kuweni specific mnataka nguo au naniliu...?
Mtaka vyote hukosa vyote.vyote vyote
Mi napewa vyote. Full rahaMtaka vyote hukosa vyote.
Tunataka pesaaaaaa hatutaki naniliu wala nguo🙄 Kuweni specific mnataka nguo au naniliu...?
Hayo ni mahitaji yetu sio dawa ya kuzuia kuchepuka kuwa muelewa we kijanaNa bado utachepuka!
Haya mtu na Raha zakeMi napewa vyote. Full raha
Kama yamtaki naniliu basi hata hivyo vyengine hampati.Tunataka pesaaaaaa hatutaki naniliu wala nguo
Ungekuwa ktk hii nafasi hata usingethubutu kuandika hivi!. Haya kachepuke mama.Hayo ni mahitaji yetu sio dawa ya kuzuia kuchepuka kuwa muelewa we kijana
Content ni nini?Unasikia mwanaume anasema Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza...? ....... Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao.
Vichekesho Kweli* : unatarajia kuvuna wakati hujapanda ? Mnatarajia vielee nakati hujaviunda...? Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani) atapendeza ...?
Wewe ukisha nunua roba la mchele, mafuta, unga, na mkaa unahisi ndio Ushamaliza , Halafu eti unamlaumu mke hapendezi... Kubwa zaidi unarudi kwako bila ya taarifa , Sasa ajipambe saa ngapi ?
Hembu mume jijengee mazowea Kabla hujatoka kazini mpigie Simu mwenza wako Mwambie mke wangu kipenzi, my sweety, my love, mama watoto wangu saivi ndio natoka kazini baada ya mda Fulani ivi nitakuwa nishafika nyumbani... Uone ukirudi kama hujamkuta mke kesha oga , kajipamba , ananukia na anapendeza kwa ajili yako.. Ugonjwa wakujitakia hau ambiwi pole
Wanaume tubadilike, andaa mazingira ya mke kupendeza alafu kama ajajipamba na vitu vipo ndio uanze mlaumu...
Hatutaki nguo tena tunataka simu zenu tuzikagueKama yamtaki naniliu basi hata hivyo vyengine hampati.
Ungekuwa ktk hii nafasi hata usingethubutu kuandika hivi!. Haya kachepuke mama.
Unapenda kuzimia we dada na utazimia tuHatutaki nguo tena tunataka simu zenu tuzikague
Itakuwa shumileta..😂Unaangalia muvi gani..!?
NimechekaUnasikia mwanaume anasema Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza? Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao.
Vichekesho Kweli* : unatarajia kuvuna wakati hujapanda? Mnatarajia vielee nakati hujaviunda? Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani) atapendeza?
Wewe ukisha nunua roba la mchele, mafuta, unga, na mkaa unahisi ndio Ushamaliza, Halafu eti unamlaumu mke hapendezi. Kubwa zaidi unarudi kwako bila ya taarifa, sasa ajipambe saa ngapi?
Hembu mume jijengee mazowea Kabla hujatoka kazini mpigie Simu mwenza wako Mwambie mke wangu kipenzi, my sweety, my love, mama watoto wangu saivi ndio natoka kazini baada ya mda Fulani ivi nitakuwa nishafika nyumbani. Uone ukirudi kama hujamkuta mke kesha oga, kajipamba, ananukia na anapendeza kwa ajili yako. Ugonjwa wakujitakia hau ambiwi pole.
Wanaume tubadilike, andaa mazingira ya mke kupendeza alafu kama ajajipamba na vitu vipo ndio uanze mlaumu.