Hii kweli ni New York ya Marekani ?

Yaani Karume au mbagala upate nafasi ya kupicha kali na imetulia namna hiyo??

Labda uwe juu ya daraja pale machinga complex au daraja la mbagara rangi tatu napo huko ukae kwa umakini wa hali ya juu.

Hapo ni NY city mkuu.
Machinga kibao kama Mbagara Rangi Tatu.
 
Umefika Brooklyn ukaona Mara nyingi mitaa ya black inafanana dunia nzima utofauti huko mtoni Serikali zao zinawajali Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…