Ukawahesabu marafiki zako yaani 1,2,3... hadi 58????Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo.
Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya tamaa; Kati ya hao kuna waliopo jela, mahabusu za muda mrefu, kuna waliotekwa na waliouwawa kwa visasi, waliokufa kwa magonjwa makubwa, wengine wanateseka hospitalini kwa mgonjwa yasiyoeleweka
We mwanaume na kijana unayepambana kufikia ndoto zako Nachotaka kukwambia ni kwamba fanya yote kwa kiasi kwa maana TAMAA IKIZIDI KIASI LAZIMA UTENDE DHAMBI, DHAMBI IKIZIDI KIASI LAZIMA UINGIE KIFONI.
Asanteni
Ni vizur zaidi kwa mwanaume kua na tamaa ya mafanikio kupitia kilimo na ufugaji my friends 🐒Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo.
Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya tamaa; Kati ya hao kuna waliopo jela, mahabusu za muda mrefu, kuna waliotekwa na waliouwawa kwa visasi, waliokufa kwa magonjwa makubwa, wengine wanateseka hospitalini kwa mgonjwa yasiyoeleweka
We mwanaume na kijana unayepambana kufikia ndoto zako Nachotaka kukwambia ni kwamba fanya yote kwa kiasi kwa maana TAMAA IKIZIDI KIASI LAZIMA UTENDE DHAMBI, DHAMBI IKIZIDI KIASI LAZIMA UINGIE KIFONI.
Asanteni
mwishoni mwa mwaka 2024 nilienda mahali tulivu kujifanyia personal assessment na kujirenew upya nikaandika marafiki zangu wote niliowapoteza katika nyakati tofauti kwa matukio tofauti nikagundua ni nguvu ya tamaa ndio iliwaangusha.Ukawahesabu marafiki zako yaani 1,2,3...58????
Kwaiyo wanaoteseka na magojwa hospitalini walikuwa na tamaa?Tabia ya tamaa imewaangusha wanaume wengi sana till date: Tamaa ya fedha, tamaa ya kutaka maisha ya juu kupita uwezo, tamaa ya wanawake, tamaa ya kutaka kuyafikia mambo makubwa kupita uwezo.
Mpaka umri huu nilionao nimeshuhudia marafiki zangu 58 wakipata madhira mbalimbali kwasababu ya tabia ya tamaa; Kati ya hao kuna waliopo jela, mahabusu za muda mrefu, kuna waliotekwa na waliouwawa kwa visasi, waliokufa kwa magonjwa makubwa, wengine wanateseka hospitalini kwa mgonjwa yasiyoeleweka
We mwanaume na kijana unayepambana kufikia ndoto zako Nachotaka kukwambia ni kwamba fanya yote kwa kiasi kwa maana TAMAA IKIZIDI KIASI LAZIMA UTENDE DHAMBI, DHAMBI IKIZIDI KIASI LAZIMA UINGIE KIFONI.
Asanteni
Tuliza akili ufikiri in a close look bro,dude got a point😐😐Kwaiyo wanaoteseka na magojwa hospitalini walikuwa na tamaa?
Sure najua ila maisha yamejaa ajali na bahati mbaya unaweza usiwe na tamaa ila wenye tamaa wakakusababishia bahati mbayaTuliza akili ufikiri in a close look bro,dude got a point😐😐
Better that way,kuliko kuwa wewe ndo mwenye tamaa asee,majuto yake yanakosa mtu wa kumuangushia jumba bovu!!!Sure najua ila maisha yamejaa ajali na bahati mbaya unaweza usiwe na tamaa ila wenye tamaa wakakusababishia bahati mbaya