Hii kwa M-Pesa MasterCard Nitaiita LoopHole

Hii kwa M-Pesa MasterCard Nitaiita LoopHole

Kama alivyosema jamaa hapo juu transaction za online hazitumii password ya ATM ama account bank, zinatumia tu namba ya kadi, expire date na ile cvv nyuma ya kadi, vyote vipo wazi tu.
Nina flash hapa imezingua kusoma mass storage sasa nilikuwa nahitaji tools kwa ajili ya hii flash niweze repair lakini sijafanikiwa kuipata kwa wazoefu naombeni msaada
 
Hivi kuna mtu amejaribu kulinki hii M-Pesa Mastercard kwenye Paypal na akatumiwa hela kupitia Paypal ikaingia? Maana huwa natamani kufanya hivyo ila sina uhakika na hilo. Wajuzi wa hilo pulizi.
 
Hii kwa M-Pesa MasterCard Nitaiita LoopHole

Kama mnavyojua kampuni ya Vodacom wametuletea huduma nzuri ya kutuwezesha kufanya manunuzi mtandaoni kupitia huduma yao ya M-Pesa Virtual Card ambayo inapatika kupitia USSD *150*00# ambayo ni menu ya Vodacom M-Pesa. Tukumbuke kwamba taarifa za kadi hii zinatakiwa kuwa siri ya mtumiaji tu ili kuiepusha kadi yake kutumiwa na mtu mwingine kufanya miamala. Lakini sasa cha kushangaza ni kwamba hii M-Pesa Mastercard ambayo ni msaada kwetu, iko “UCHI” (NAKED) kwa sababu unapoingia katika menu ya M-Pesa, 4 Lipa kwa M-Pesa, 6 M-Pesa Mastercard, 2 Taarifa za Kadi, utatumiwa taarifa zako za kadi hadi ile CVV bila hata kuombwa namba za siri na hiyo itampa nafasi mtu mbaya kuona taarifa za kadi.

Swali langu ni kwamba hawa jamaa hawajaona kuwa huo ni mwanya unaoweza kumsababishia mteja wao hasara?
Jamani mbona unapojiunga na hiyo huduma wanakupa angalizo kuwa pesa uweke kwenye card pale tu unapotaka kafanya malipo.
 
Back
Top Bottom