Bambanza jr. JF-Expert Member Aug 6, 2011 355 36 Oct 8, 2011 #1 Hatanikiwa bored au tired huwa najongea kwenye jukwaa hili basi huwa nakauka kwa vicheko! 'mate na machoz' humwagika! Huwa najizuia kutapika ulimi na kuha*.sha utumbo...!
Hatanikiwa bored au tired huwa najongea kwenye jukwaa hili basi huwa nakauka kwa vicheko! 'mate na machoz' humwagika! Huwa najizuia kutapika ulimi na kuha*.sha utumbo...!
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,381 Oct 8, 2011 #3 Hivi ni lazima utumie metaphors hizo? hukupata zingine ambazo hazichefui?