Hii kitu ni kweli?

Hii kitu ni kweli?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanaume walioranduka wanapata wanawake watulivu, na wanaume waliotulia wanapata wanawake walioranduka??

Naomba experience yako kama umeshakutana na scenario kama hizi.

Kwa upande wangu nimeshawahi kupata mwanamke ambaye ameranduka mbaya. Ilibidi nikimbie baada ya miezi kadhaa.

Futari njema
 
Kuna ukweli ktk hili japo sio wote, nimeona mifano mingi ktk hili!!
 
Hasa wanaume wapole na wenye mapenzi ya kweli wanapata wanawake mcharuko sana na pasua kichwa
 
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanaume walioranduka wanapata wanawake watulivu, na wanaume waliotulia wanapata wanawake walioranduka??

Naomba experience yako kama umeshakutana na scenario kama hizi.

Futari njema

It sometimes applies and sometime not
 
Kinachotokea ni kwamba sometime inawezekana ukapata mke ambaye sio mtu wa kurenduka ila ukijifanya wewe mpole unamuamini kwa kila kitu kwa sababu ya upole wako na yeye ndo anaanza kukukaa juu ya kichwa
 
Inatemegea ntu na ntu unaweza ukapata pipa na mfuniko.
 
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanaume walioranduka wanapata wanawake watulivu, na wanaume waliotulia wanapata wanawake walioranduka??

Naomba experience yako kama umeshakutana na scenario kama hizi.

Futari njema

hebu tuambie wewe umeranduka au bado na mwenzio yupoje!!!!!?
 
Back
Top Bottom