Kwahyo hiki kitu kipo?
Ipo mkuu na ni makusudi ya mungu ndio mana unaona familia zinaishi kwa utashi chukulia mama akiwa boya na baba akiwa boya ni nini hapo kitaendelea hata watt watazaliwa mataahira kama huamini hii kitu angalia famili iliyo na mmoja mpole mmoja mkali alafu rudi kwa watt utakuta watt wamejigawa huyu kaenda kwa baba huyu kaenda kwa mama ndio hivyo.