Numbu..
Sina uhakika zaidi na hizo lugha za kwenu ila kwa kiswahili sanifu huitwa viazi vitamu. Viazi Mbatata ni viazi vile maarufu kwa chipsi yai, pia huitwa viazi ulaya au viazi mvilingo.
Vinaitwa visoiya!
Numbu..
hahahaha mkuu ukila ivo andaa na jagi la maji kabisa
sio kweli mkuu mbatata ndo viazoi utamu hivo mviringo vina jina lake
Kitu rabuon hii