Hii Kitu inaukweli wowote kwa waliofanikiwa???

Hii Kitu inaukweli wowote kwa waliofanikiwa???

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
HABARI ZA WAKATI HUU.
Jamani ndugu zangu ikiwa Bunge lilipitisha utoaji wa huduma za mikopo kupitia mfuko wa VICOBA ambapo BUNGE lilipitisha utoaji wa mikopo kupitia tovuti ya vicoba ambayo ni bonyeza hapa

www.wezeshavkoba.wapka.mobi
Ikiwa kuna malalamiko yoyote kuhusu huduma zao mnaweza mkanipa mimi niweze kuzifikisha sehemu husika na kuwachukulia hatua. Na kama kuna ambae anahitaji mkopo anaweza akatembelea tovuti yao ambayo ni

www.wezeshavkoba.wapka.mobi
na atapatiwa mkopo bila matatizo. NAOMBENI MAONI YENU.
Sim 0657630616

19601057_144627989443441_8015813540952120035_n.jpg
 
Mkuu samahani sana,navyoskia hawa vikoba ukitereza kidogo kulipa nao wanatereza hadi na vitu vyako vya ndani.Je kuna ukweli??!!!
 
Hao ni matapeli wa kutupwa, sio wa kuwasikiliza..hiyo barua yenyewe imeeditiwa hawajapata ruhusa ya bunge wala nini...kwanza ndio hao wanatapeli watu kwa kutumia majina ya watu maarufu kama vile R.Mengi...Kwa hiyo wapuuzeni
 
Hao ni Matapeli na Wezi wakubwa wa Mtandaoni jichanganye Upigwe hela Mzee.
 
Hiyo ni desi nyingine ukiingia kichwa kichwa unaingizwa mjini,achana nao kabisa hao matapeli.
 
Hao ni matapeli wa kutupwa, sio wa kuwasikiliza..hiyo barua yenyewe imeeditiwa hawajapata ruhusa ya bunge wala nini...kwanza ndio hao wanatapeli watu kwa kutumia majina ya watu maarufu kama vile R.Mengi...Kwa hiyo wapuuzeni
Njooni mjibu tuhuma
 
Matapel wakubwa nyie

Hiyo link wapkmob ni VIRUS ukiclick tu unahakiwa

Mtoa uzi acha ujinga kuja kutapel watu ,
 
Kwanza hiyo sio signature ya katibu wa bunge Dkt.Thomas D.Kashilillah. Nina documents ambazo alisaini hapa ofisini kwangu na wala hana signature ya kikayumba kama hiyo . Acheni utapeli wa mchana .
 
Jiongeze hata na wewe. Hao ni matapeli tu.

Angalia barua ilivyoandikwa. Ni uhuni mtupu. Haijafata hatua za uandishi, potelea mbali hata tarehe haijawekwa kwenye barua tajwa.
Lugha yenyewe ni GONGANISHI.

Angalia kwa makini Barua hiyo;
JAMUHURI badala ya JAMHURI
Haina tarehe
Haina anuani ya Mwandikiwa
Haina namba ya Usajili wa Hicho KIKOBA
Sahihi siyo ya Kashilillah

Kuwa makini sana. Utaliwa kijinga Mkuu.
 
TCRA fuatilieni hii kitu tujue ukweli wake. Luna mamba zao za TIGO, mpesa.
 
Back
Top Bottom