Hii Kitu INASUUZA Roho Mweee

Hii Kitu INASUUZA Roho Mweee

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
582417_466243433436820_631875478_n.jpg
 
Hizi vitu nikizikuta ndani naweza toa macho mpaka yakawa yanadondoka tena naanza kuyatafuta kwa kupapasapapasa
 
duu!
ama kweli mkuu MBUZI,inasuuza si kidogo!

"The question is not what you look at, but what you see"
 
Ukiona mtu ana hasira asubuhisubuhi, ujue labda ameziota hizo, alipoamka hakuziona.
 
Shetani hizo jamani maana hizo hizo zinaua mtu wakati ni karatasi tu unazoweza kuzichana au kuzichoma hadi kuwa majivu na wala zisiweze kuurudisha uhai wa mtu hata zijae dunia nzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom