Hii kitu inapatikana wapi?

jamaniiiiiii haya matunda ya siku hizi mbona yana shape za binadamu?
 
Toba yailahi hata na matunda nayo au ndo dalili za kuangamia dunia maana kila kukicha ni vituko vya kusta abisha na vya ajabu
 
Wa-Tz nasi kwa kupenda kupeleka hisia zetu mbali tuonapo jambo hatupo nyuma.
 
Watanzania tumeshakuwa mateja wa ngono....maana kila kitu tunakitafsiri kingono ngono tu....
ndio maana JK anaona akapige story huko ughaibuni akirudi home ni kulala tu..huku home wananchi hawaeleweki...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…