Hii Kitu Inaogopwa ile mbaya

Ipi sasa mbona yako mawili,unamaanisha hilo kubwa au hako kadogo.....
 
Hii kitu inaitwa Kaburi mazee,ila hiyo mwanandani cjui ya kimasoni au?
 
Hapo hata uogope, lazima uingie humo
 
Wewe mbuzi mzee hiyo kitu inaogopwa na wale ambao haijaandaliwa kwa ajili yao, lakini kwa wahusika mbona poa tu! Hakuna hata mmoja aliyewahi kataa kutinga "kutingishwa" kwenye hiyo kitu.
 
Kuishi ni kristo kufa ni faida. Siku ikifika unahesabu faida na sherehe kwa watakatifu.
 
Anaeiogopa hiyo huyo anatamaa ya kuishi milele, kitu ambacho hakiwezekani. Siku, saa, dakika yoyote tunaweza kuondoka kuelekea huko bila taarifa.
 
Anaeiogopa hiyo huyo anatamaa ya kuishi milele, kitu ambacho hakiwezekani. Siku, saa, dakika yoyote tunaweza kuondoka kuelekea huko bila taarifa.

Ila magamba wao wanafikiri wataishi milele
 
Ni vizuri ulivyoiwake ili tukumbuke kufanya ibada.
 
Duh binadam tuna safar ndefu na ya lazima..

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Ahsante kwa kunikumbusha kwamba hapa duniani tunapita tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…