Hii kitu inanitisha Sana

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
768
672
Habari za hapa. Nimepata hili
1488566954626.jpg

Nilitumia fluconazole one tab for 14 Nimemaliza. But cha kunishangaza even kwenye penis na ndani ya kuta za mdomo kwa pembeni Nimeona kitu kama uduara,

Jr doctor naomba msaada zaidi
 
nenda hospital wewe uwe unaangalia na magonjwa ya kuuliza shauri yako muda hausimami
 
Umeshauriwa vizuri nenda hospital lakini hizi kubwa kubwa kama regency agakhan dar utapata msaada wana vipimo vya kutosheleza, unajua kwenye picha ni ngumu kidogo kuisoma ilivyo je ni mbichi au imekauka inawasha au ina maumivu
 
Nenda hospital wakupime kitu kinaitwa flariasis unaweza kuwa umepata maambukizi hayo kuna dawa huwa zinagawiwa kwenye kaya wanakupima urefu unapewa vidonge unameza ni dawa nzuri sana kwa ugonjwa huo na ni very high antibiotic japo watu wanazikataa hospital hazipo wala maduka ya madawa bei yake ni kubwa sana kidonge kimoja ni dola 2.5 na mtu mmoja anaweza kumeza vidonge 4 kwa mara moja mpaka uje kumaliza dozi wewe ukiyeugua ni shida bora ungewahi kumeza ungekinga, watafute wanaogawa uwaombe wakupe au kama upo dar nenda nenda NMR wanaweza kuwa nazo
 
Pia ukapime kitu kinaitwa TPHA na D diner pia kama kuna syphilis inayochelewa kuonekana itaonyesha
 
Habari za hapa. Nimepata hili View attachment 476512
Nilitumia fluconazole one tab for 14 Nimemaliza. But cha kunishangaza even kwenye penis na ndani ya kuta za mdomo kwa pembeni Nimeona kitu kama uduara,

Jr doctor naomba msaada zaidi

Ndugu yangu dawa za hospitali ni sumu yaani athali zake ni kubwa na nyingi kuliko faida yake.
Zinapunguza maumivu ya ugonjwa fulani , baada ya muda fulani zinaleta tatizo jingine.


Ili kuondoa sumu mwilini kunywa maji yaliyokamuliwa ndimu au limau kila asubuhi na jioni.
 
Back
Top Bottom