Hii kitu imekaaje wadau ushauri

Mkuu ongeza idadi kwanza,wakifika 20 per year njoo tukushauri! naamini utakuja maana utakuwa ushampata SAHIHI! Hiyo ni Try and Error
Nilikuwa naandikaga kwenye diary naoachana nao mpaka ikawa hasara kwangu kununua diary.
Ila sasa naEnjoy na nimetulia na sihitaji tena mwingine.
Ongeza Idadi Mkuu
 
Ulikuwa unawachanganga wote wawili at once

Au unaingia kwenye mahusiano haraka sana,baada tu ya kutoka kwenye uhusiano Wa awali
 
Back
Top Bottom