masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,891
- 15,112
Hivi sasa ni saa 11 jioni, lanchi yangu ilikuwa hii kyindi(ugali), ukiniita fisadi poa tu,lakini niliposh sahani nzima!
Sasa hivi bado nina nguvu tele!
Hivi mboga kinyakyusa mnaitaje?
Hivi mboga kinyakyusa mnaitaje?
Mkuu usipomkaribisha malafyale hii kyindi akikutembelea, ni kosa la jinai !Mie napita tu. Vitu vingine vinatamanisha ukiachia kukumbusha mbali. Zama zile nikiwa shule kitu hii niliichukia kuliko kitu chochote.
Gwe !Kulya gwimwene 'umwindi ghosa ugho?
![]()
Hivi sasa ni saa 11 jioni, lanchi yangu ilikuwa hii kyindi(ugali), ukiniita fisadi poa tu,lakini niliposh sahani nzima!
Sasa hivi bado nina nguvu tele!
Kwa kyindi yote hiyo ndo maana una domo kubwa.
Gwe !
Twe bha sonda muno!
Usinionee wivu, mie hansome bwana, aka!
Hivi mboga kinyakyusa mnaitaje?
Uje 'nkifu na mu 'mbombo linga kulya 'ikyindi bho ikyo ngati uli ni 'isota 'munda.
Gwe ugwe, imbulukutu sya kalulu ngosyo ja bwisukulu!Kangi naloli lili ni njoka munda ilya ccm ili, imibhulukutu ghikufwana selo sya mbu ndali
E bana eee , nimechukua kitu ulaya baada ya na yeye kuhusudu kyindi.Duh!!! Yote hiyo masopakyindi. Hongera.