Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,078
mmmmmmmmmmh dori dori nimeokota kidu...................................
hehhehhe..naona hapa tumeanza mambo ya amfumbo mfumbie mjinga....
Buji buji ijumaa mbona iko mbali?
Sometimes iko ngumu kama big g mpya,
some times soft kama Big g iliyoliwa hadi kuisha utamu.
Ukiikubali inakupa raha ikikuvamia inakuumiza,
hii kitu ni tamu hadi watu wanajiua kwa kuona imeenda kwa wengine.
hii kitu ni soo bwana.

Nyapu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
wameuana wapi?Si kuna walimu wameuana jana?
Mbunyeee!!!!!!!!!!!!!!
Mshededeee!!!!!!!!!!!!!!!
Mama angu weee,tumevamiwaaaa!!Mbunyeee!!!!!!!!!!!!!!
Mshededeee!!!!!!!!!!!!!!!