Hii kiboko,Nani anaweza?

Hawajamaa kwa sarakasi ndio wenyewe. Karibu we kajambanani kama hujavunjika viongo vyako vyote
 
Kwa umri niliofikia siwezi kufanya hivyo..nilipaswa kuanza mapema!

"It is a sign of strength, not of weakness, to admitthat you don't know all the answers"
 
Mkuu sidhani kama huyo ni Mchina...hapo kwa haraka mandhari yanaonesha ni Dubai, hivyo huyo dada atakuwa ni Mmanga tu...

Mimi nadhani anahasili ya Kirusi au Nchi za maeneo ya kule (Slovenia etc); Wale jamaa nao nia hatari kwa michezo hii ya sarakasi!
 
No i cannot and i will never dare,nivunjike viungo kisa?????
Ndio, ukijaribu ukiwa na umri huo ulio nao, utameguka tu! Huyo unayemwona pichani alianza mazoezi akiwa
mdogo sana, umri wa miaka minne au mitano. Mwili umezoea na kukubali kukunjwa kama plastiki.
 
Yeah hujakosea mkuu, lakini angalia kwa background kuna "Burj Al Arab: 8 Star All Suite Hotel", ile yenye umbo kama Jahazi huko DUBAI.

Mimi nadhani anahasili ya Kirusi au Nchi za maeneo ya kule (Slovenia etc); Wale jamaa nao nia hatari kwa michezo hii ya sarakasi!
 
Ndio, ukijaribu ukiwa na umri huo ulio nao, utameguka tu! Huyo unayemwona pichani alianza mazoezi akiwa
mdogo sana, umri wa miaka minne au mitano. Mwili umezoea na kukubali kukunjwa kama plastiki.
Mhhhh kwa kweli tauwaachie wenyewe akkhuuu mie sitaki hata kusikia hizo habari.tena zaikafie hukohuko uchinani.
 
Kwa wenzetu ni kawaida kupigania kuweka rekodi katika kumbukumbu za dunia, ss tunakazana kuweka rekodi tunazojua wenyewe huku mitaani.
 
Mkuu sidhani kama huyo ni Mchina...hapo kwa haraka mandhari yanaonesha ni Dubai, hivyo huyo dada atakuwa ni Mmanga tu...

Hawezi akawa mwarabu. Wasichana wa kiarabu hawaruhusiwi kucheza michezo ya aina hii
 
Yeah hujakosea mkuu, lakini angalia kwa background kuna "Burj Al Arab: 8 Star All Suite Hotel", ile yenye umbo kama Jahazi huko DUBAI.

Mimi sioni hata mnachobishania, kwani kuna sheria kwamba Mchina hawezi kufika Dubai?

Wachina hata Uyui wapo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…