Serikali yenyewe ni batiliHii kauli ya serikali watu wabakie majumbani si rafiki hata kidogo ..Si wakazi wote wa Mji wa Dar wanamajumba wengine wanaishi na kulala usiku unampukutia ..kwa mfano Bodaboda, wamasai , machinga ,mamantilie ,waokota makopo n.k
Ni hayo tuu
Kauli na amri pia batiliSerikali yenyewe ni batili