Hii kauli ya Mhe. Nape inamaana gani?

Nape akihamia CHADEMA, watamwona bonge la mtu na watasahau mipasho ya kikekike aliyoitoa Nape kipindi akiwa Mwenezi. Halafu alivyo wa ajabu alilalamika kuonewa na Serikali akidai ameitoa CCM shimoni. Sasa unajiuliza, Hivi ni akina Nani walioiingiza shimoni? Walianza lini kuiingiza shimoni?
Mkuu unadhani Nape anachukiwa na wapinzani? Hakuna wa kumchukia hayo matendo yake tayari kashalipwa na dunia. Dunia itamlipa sawasawa na matendo yake.
 
Nape akihamia CHADEMA, watamwona bonge la mtu na watasahau mipasho ya kikekike aliyoitoa Nape kipindi akiwa Mwenezi. Halafu alivyo wa ajabu alilalamika kuonewa na Serikali akidai ameitoa CCM shimoni. Sasa unajiuliza, Hivi ni akina Nani walioiingiza shimoni? Walianza lini kuiingiza shimoni?
Siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu!!!
 
Hilo nalo neno.

Nasikia Mbunge wangu Nyalandu ameitwa kwenye kamati ya Maadili Lumumba siku ya jumatatu, kisa kaenda kumsalimia Lisu Nairobi.

Hizi sikia sikia hizi mkuu..masikio hayalali njaa. Ukiulizwa useme vizuri tu usianze oooh wananifuatilia. Ujue la kusema.
 
Inawezekana kabisa kwamba Nyalandu,ameitwa,lumumba.ccm hawakutaka kumtibu Lisu ili afe,wasingizie,walikua wanangoja barua ya familia yakuomba atibiwe,akiwa muhimbili,damu ikamwishia akafa,wakati polisi wakiwa bize kukimbiza watu wenye fulana za chadema wasimchangie damu,na kuzuia maombi kwa risasi za moto !!!! Sasa Nyalandu kuonyesha kwake huruma,na kujitoa kwa hali na Mali kumuokoa Lisu,hiki ni kisu chenye ncha kali sana myoyoni mwa watawala,waliotuma wauwaji,na jaribio lisifanikiwe !! Hapo Nyalandu atasingiziwa kama sio kushushiwa tuhuma kubwa ambayo ita tikisa amani nchini.au nayeye risasi kadhaa zitatengwa kwa ajili yake !! Muda ni mwalimu,tusubirni.Mungu waaaaaangu,epusha kila mtu atakayekabiliwa na ccm kwa wema wake wowote,kwa wanao onewa kuuwawa na kuteswa na mtawala,weka alama usoni mwa watu wako,ccm isiwatambue na kuwauwa.Mungu naomba kwa kila jinsi na kila lugha ila maana yangu nikukuomba usimamishe umwagaji wa damu nchini,na kuleta amani na utulivu,ktk jamii yetu tena,Amen.
 
Mkuu umeandika kwa uchungu
 
Hilo nalo neno.

Nasikia Mbunge wangu Nyalandu ameitwa kwenye kamati ya Maadili Lumumba siku ya jumatatu, kisa kaenda kumsalimia Lisu Nairobi.
Aaache kwenda na yeye hivi wanamuogopea nini huyo mtu?? Wanatakiwa waonyeshe kwamba wanamioyo sio matofali so wanaumia mwenzao kkupigwa risasi sio mpka awe wa chama cha manjano
 
Mkuu wangu inauma sana, hasa ukizingatia tulilelewa na kukuzwa ktk utaratibu wa kuheshimiana,kupendana,kusaidiana na kulindana.leo hii mkuu wa nchi,anaongoza kebehi,matusi,dharau,umwagaji damu ndani ya nchi hii tena kwa gafla,watu hawajui wajiepushe vipi.watu hawajui nani mwema,nani anatumwa,watanzania tulikua watu wenyewe wema na utu uliotukuka ! Leo viongozi kila ngazi na mtawala wao,niwaongo kupindukia,niwaropokaji bila kukagua madhara ya kauli zao muda mfupi ujao ! "Sikuja kutafuta wachumba" kwahiyo yaliyokosewa na watangulizi wake,nikwaajili walikua wahuni /wamalaya sana ? Mtu aliyeumbwa na Mungu, unamtagazia kua hata "Survive", Lisu kapigwa risasi !!!!! Jamaaaaani,muuwaji ni nani kama siye aliyetamka haya ???"wapinzani hawatakaa watawale" kwahiyo ndosababu wanauwawa !!Mungu Mimi sijawahi kuwa safi mbele zako,wala sintawahi kua safi,naenenda kwa kutegemea rehema yako tu,ila nashindwa kuona binadamu anaye hamasisha wengine wauwawe ili atawale kwaraha ! Bwana wangu sitasita kukuomba umuondoe yeye ili dimbwi la damu nchini likauke.wanaowawa wanategemewa,tangia ngazi ya kaya,hadi taifa kwa njia moja au nyingine.Fanya jambo Mfalme wangu,nchi itande umande wa furaha,utulivu,upendo,amani na sio damu tena toka kwa mwananchi yeyote,kisa mtawaha hapendezwi naye !, nahata iwe ajali Mungu wetu hatutaki tena damu juu ya uso wa nchi,asante kwa huruma yako,najua umesha tenda,Amen.
 
Back
Top Bottom