Umeleta uzi wenye vitu viwili ambavyo nashindwa kuvipatia muunganiko, unataka tujadili vita ya Russina na Ukraine na uzinduzi wa SGR Tanzania vinavyoathili maisha na maendeleo ya awasomali. Itβs obvious haupo sawa.Mwana ndani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. ( kabila lake).
Sasa Jana gafla akaanza kumuongelea baba yake mzazi kiufupi siye aliyemlea alimzaa tu wakalea wengine hata MAHARI hakupokea yeye Wala kwenye harusi hakuja japo alikuwepo na alikuwa ni mwenye afya tu. Mwandani akatamka NENO hili na kuliwekea msisitizo ambao sikumjibu lakini limenikaa kichwani nikaona nishirikishe jukwaa ambalo najua Kuna wenye msaada na hekima na wapumbavu pia. Kuwa siku "akitangulia mbele ya haki kabla ya baba yake mzazi, baba yake ndio atoe maamuzi ya yeye kwenda kuzikwa akasisitiza Tena kuwa ikiwa maneno yake ie. mke hayatatekelezwa basi nitajilaumu sana maishani ni kana kwamba nitapata matatizo" kwa kwenda kinyume na matakwa ya marehemu. Sasa wadau naombeni ushauri hapa Ina maana Mimi Sina maamuzi juu yake pamoja na kumlisha na kumtunza kote?. Au nimtunzaji akiwa hai akifa Sina langu?. Vipi Mimi nikitangulia atawapoteza wanangu wasijue kabisa asili ya baba Yao Wala shangazi, baba wakubwa na wadogo upande wangu?. Anamaanisha Nini?. Au INAMAANISHA Nini hii?. Naombeni mawazo wadau.
ngoja niidownload, jamaa huwa anajua sana huyuListening Afrika mp3 by Dizasta [emoji444][emoji444]
ngoja niidownload, jamaa huwa anajua sana huyuListening Afrika mp3 by Dizasta [emoji444][emoji444]
Chukua hiyo !! π΅ngoja niidownload, jamaa huwa anajua sana huyu
Jamani πInaonekana babake ndio alimvunja bikra
Mapenzi kwisha kabisa , hapo mapenzi yamehamishwa kweny mali na watoto .Wanasemaga wanawake wakitafuta Mali na waume zao zikipatikana Huwa tunawaza kuwa single π
Kuna baadhi ya wanawake ninaowafahamu Wana nyumba viwanja ambayo waume zao hawajui kabisa unashnagaa mke anakudharau kumbe amekuzid kilakitu mkiwa hapo kwenye nyumba ya kupanga ππππ