Hii katuni ya Kikwete vipi?

Message sent and delivered. Lakini muda wake si utakuwa umekwisha?

Anatamani sana ingekuwa nchi ipo ktk siasa za Mzee Putin na Medvedev - Urusi! Maana kwa Putin, yeye kama Rais akiona muda umeisha anajiteua kuwa Waziri mkuu, na PM wake anapewa urais geresha, and vice versa!

Hapa kwetu, JK angejiteua kuwa 'Membe' hata kama Membe hayupo! maana sisi kwetu hapa PM ni golikipa tu, hana ishu, ni kutembelea tu Serikali za mtaa na kushika tama! JK ana-enjoy tu pipani! haogopi hata risk za 'kuruka-ruka' huko angani ...'risk free mind 🙂!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…