Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!
Tatizo la vijana wengi gongo kwa sana yani mtu akifanya kazi vema wanakejeli asipofanya matusi kipi chemamkwenu.Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!
Anajipigia debe kiana,hana lolote mbwa mwitu tu huyo
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!
Tatizo la vijana wengi gongo kwa sana yani mtu akifanya kazi vema wanakejeli asipofanya matusi kipi chemamkwenu.