pwahahahaaajamaa kashtakiwa kwa kosa la kumpiga mke wake
hakimu: kwanini ulimpiga mke wako na stuli?
jamaa: kwasababu nilishindwa kunyanyua meza...
jamaa kashtakiwa kwa kosa la kumpiga mke wake
hakimu: kwanini ulimpiga mke wako na stuli?
jamaa: kwasababu nilishindwa kunyanyua meza...
Nimecheka hadi nimejamba
Mtoto:et kwani we n babaangu?
Baba:ndio,kwann umeulza hvyo?
Mtoto:kwan babaangu c analala na mama?
Baba:ndio
mtoto:mbona mnanichanganya?kwa hyo babaangu ni wewe,ba fatu,ba eliza,ba asha,ba esta au ba jack?
Baba:....@{~&¥**??!