Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,907
- 29,232
Wewe kama huishi Sinza basi utakuwa unaishi Kinondoni.Sielewi kama mimi ndio nina matatizo ama vipi, maana hivi vitu watu wanafanya siku hizi vinanichanganya
Unakuta mtu ana miaka 25+ anaishi nyumbani kwao, hata rent ya miezi miwili hawezi kujilipia lkn ukija kwenye status yake unakuta yy ni bingwa wa kuandika historia ya mabilioni ya Jeff Bezos, Jack Ma na kina Patrice Motsepe
Mtu huyo huyo hafanyi chochote kbs, akishashiba chakula cha mama anakuja IG anaandika "Dear haters, the more you hate me the more I become successful" Ni kama vile kuwa na haters ni fashion inayoTrend
Watu wa aina hii ukimuuliza bruh mishe zinaendaje,kwanza lazima akujibu kwa kingereza,utasikia "Patience bruh, you know patience is bitter, but it's fruit is sweet". Sasa mimi najiuliza hivi tatizo ni kuwa na elimu au kutokuwa na elimu. Maana watu wa namna hii huwa wanasoma vitabu kweli kweli, cashflow quadrant yote ipo kichwani
Kukaa nyumbani kufikiria kuwa milionea ni utoto sana na hii michezo ya kujifanya wasomi na wachambuzi haitatufikisha popote pale. Mtu anajua matoleo yote ya Range Rover lkn bado nauli ya daladala mpk aombe kwa mtu
Sisemi kuwa watu wasiwe na ndoto kubwa, hapana! lkn kabla ya kutamani kuwa bilionea fikiria kwanza jinsi utakavyofanikisha kuhamia kwako. Kama una degree ya BaEd na hauna ajira, nunua mabenchi fundisha watoto twisheni jioni, 25,000 kwa mwezi, anza na watoto 10, hiyo ni 250,000... hapo unaweza kuanzisha baby care ya wanafunzi 40, kila mmoja ada 30,000 kwa mwezi una milioni yako. Asubuhi baby care, jioni twisheni, weekend mitihani
Muhimu sana ukaepuka kuwaambia watu shida zako, coz kila mtu ana shida zake kibao na hkn anayeshtushwa na shida zako. Km una ndoto sahau mtu kuinvest hela yake kwenye ndoto yako wkt ww haujainvest hata mia. Komaa invest hela yako then push, mtu akitaka kukujoin akukute kati kati, ht ukimwambia inahitajika mil 20 at least inaelezeka hiyo hela itatumika wapi. Sio uniombe mil 5 wkt unalala kwa mama'ko, hapo nitajua tu huyu jamaa hela yng atalipia kodi....#NIMEIKUTA MAHALI WADAU#
Niko hapa mkuuHuwa nawahurumia sana wadada wanaotongozwa mitandaoni. Anawasiliana na jamaa huku kichwani anajenga picha ya kukutana na bonge la shefa. Siku anapokutana na huyo mtu sasa. Anatamani hata kutapika kwa hicho kituko alichokutana nacho.
CC. Mzigua90 Madame B Evelyn Salt Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimekusahau na hiyo avatarUmenikumbusha machungu, ngoja nilie nitarudi
Shem Bebe na ww unakaa kwa wazaziUkweli mchungu
Madame B haujamalizia ujue jamaa alikuwa yupojeHahahahah
Usinikumbushe mie.
Nilipata danga kule Badoo, likanitumia laki 1 na nusu nauli ili nimfate Mwanza, ila kila nikimuomba picha yake anasema utakuja kuniona hukuhuku.
Nikasema potelea mbali, laki 1 na nusu kwenda hapo Mwanza tu, ngoja niende maana litakuwa bonge la shefa na lina mawe hatari.
Basi siku mbili kabla, akanitumia laki ya kuwaachia ndugu nyumbani.
Nikasema dah!...Mungu anipe nini mimi.
Laki na nusu + laki= laki 2 na nusu na hapo sijakutana nae uso kwa uso.
Siku ikafika, nikajifungasha.
Huyo mpaka Ubungo, ndaaaaa!!!! kwenda Mwanza.
Nikawa nawasiliana nae kila dk mpaka naingia Mwanza.
Akanielekeza kuwa amenichukulia chumba pale Victoria Palace. Nimefika pale kwa muhudumu wa hotel akasema kweli kuna jamaa kalipia hotel kwa wiki 2 na kampa muhudumu laki 2 anipe yeye atakuja kesho.
Basi muhudumu akanipa zile laki 2 akanielekeza na chumba kilipo.
Basi usiku kucha nawaza kuhusu huyo jamaa alivyo...mbona anajificha ficha.
Kesho yake asubuhi ya saa 4, muhudumu akaja na elfu 40 kasema inatoka kwa jamaa.
Nikaipokea.
Mchana nikashuka kwenda kula....(jamaa naendelea kuwasiliana nae siku zote hizo)
Nikafika restaurant ya hotel nikala na kunywa.
Nimekaa dk 10, akaja yule muhudumu na laki 2 tena zingine mkononi akasema jamaa kasema nikupe....nikazipokea.
Imefika jioni, jamaa ananipigia simu kuwa amepata udhuru hivo anaenda Dar kikazi kwa siku 4 ila akasema niende kwa yule muhudumu amemuachia laki 7 ili niendelee kubaki pale mpaka atakapokuja baada ya hizo siku 4.
Basi nikaanza kuzurura Mwanza, kula na kunywa sana kwa siku hizo 4.
Siku ya 5 asubuhi akaniambia yuko chini ya hotel nikampokee.
Nilichokutana nacho, sikuamini.
Ila mpaka leo huwa naukubali sana ule msemo wa kuwa, "pesa ndo mchawi wa mwanamke"
Anyway....nilikula bata ila ndo hivo.
Baadae saaaana nilivyorudi Dar yule muhudumu alinipigia simu baada ya miezi 6 kuwa yule jamaa alijiua.
Ila nilikuja kugundua kuwa wapo wanaume waaminifu na wastaarabu katika hii mitandao ya Kijamii.
Japo watu wanaponda ila mie nishafata sana wadau mikoano huko.
Hahaha siku nikukaribishe kwanguShem Bebe na ww unakaa kwa wazazi
Unikaribishe kwa ufisi wako huwezi niacha hivihiviHahaha siku nikukaribishe kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sio fisi. Unaogopa kuliwa na ukubwa wote huoUnikaribishe kwa ufisi wako huwezi niacha hivihivi
Hahahha lini ulianza kutokuwa fisi tatizo sio kuogopa kuliwa na uzee huu ila kuliwa bila kupenda huko ni kubakwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sio fisi. Unaogopa kuliwa na ukubwa wote huo
Hahaha sitakukula labda itokee, kwahyo usiogopeHahahha lini ulianza kutokuwa fisi tatizo sio kuogopa kuliwa na uzee huu ila kuliwa bila kupenda huko ni kubakwa
Yaan huwezi kuniacha hivi hivi tena nipo nyumbani kwako he he yaani na picha nimeshakuvutia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio mshipa wewe ninayekujuaHahaha sitakukula labda itokee, kwahyo usiogope
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unataka uje alafu uondoke nisiwekee hata kichwa tu kidogo. Kwanza utaniona boya kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio mshipa wewe ninayekujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona sasa nilivyokuwa nawaza eti uniache tutakutana London lounge panatosha sana [emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unataka uje alafu uondoke nisiwekee hata kichwa tu kidogo. Kwanza utaniona boya kweli
Hahaha acha roho mbaya mtoto mzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona sasa nilivyokuwa nawaza eti uniache tutakutana London lounge panatosha sana [emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha niwe na roho mbaya tu tena tutakutana kule juu ghorofani sio loungeHahaha acha roho mbaya mtoto mzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi nitawekea tu hata mkono kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha niwe na roho mbaya tu tena tutakutana kule juu ghorofani sio lounge
Hao ni kawaida yao.......unakuta jitu zima la kiume linaenda kuishi ukweni.....au jitu zima na watoto juu bado linakula ugali wa foleni.Tatizo ni kuishi nyumbani au kuendesha Maisha yako?embu nenda Kariakoo na upanga ukacheki wahindi na Waarabu wanavyoishi na watoto wao watu wazima kabisa na Maisha yanasonga.