Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,984
- 5,791
Utakuja kurudi kwake na magoti,Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje
Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu
Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
Kweli mkuu inawezekana pia.Hivi kuna sehemu kasema yeye ni mwanafunzi? Kwanini msihisi ni mwalimu
Ile picha yenye msambwanda iko wapi my wake ?
kiukweli akimgegeda vizuri mbona atampendaAkikugegeda Vizuri Utampenda Tu
Aache ubinafsi eh....Stress hazitapungua kwa kuongea tu mpee papuchi uone maajabu lmao[emoji23]
Ndiooo😂