Hii ipoje wapendwa

Achana nae,bt siku nyingine akirudia mfuate na mpe mkavu live kua urafiki wenu ubaki kua wenu tu na sio kuingiliana kwa wapenzi inahuuuu…!!!!
 
Alipoweka picha aliweka status gani?
Punguza mazoea ya ajabu ajabu!!!
 
Nyie si kama mapacha? Mwache mwenzio nae aonje gegedo la mchumba!
 
Mwambie kuwa usicheze kabisa na mahusiano yangu,kama atachukia na kuamua aache urafiki wenu potelea mbali
 
1. Chukua simu yake (kama unaweza kuipata), ingiza namba za Boyfriend wako na jaribu kuzipiga zote unazozijua. Ukiona haitokei jina basi mkanye na upunguze huo upacha!

Point ni kwamba kila kilicho chako anakipenda na hata huyo Boyfriend wako anampenda pia.

2. Ukikuta namba ipo, basi ujue tayari mambo yanaendelea.

Hili zoezi lifanye na kwa Boyfriend wako pia kwa kucheki namba za huyo dada.

NOTE: Usiiondoe dhana ya kwamba hawafahamiani, chunguza kwanza kabla ya kufanya lolote.
 

uko vizuri aisee
 
uko vizuri aisee

Uzoefu unafundisha,

Mara nyingi wanawake wana kasumba moja; ukimsifu sana mchumba wako nao wanamtaka huyo huyo, na cha kwanza watachukua namba ya simu bila hata wewe kujua na utasikia "shem hivi..., shem vile...!".
 
Hata muwe ndugu kuna limits zinakujaga kwenye certain things. My own sis hawezi weka pic ya shem wake!
 
Wewe unacheka na nyani, so jiandae kuvua mabua soon. Kisa rafiki yangu ndo uweke picha ya bf wngu kwenye dp yako? Huyo rafiki yako kama ndo ana mazoea ya hivyo, basi tegemea makubwa zaidi kutoka kwake eishhh.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
achana kabisa na huyo rafiki si mtu mzuri
 
Yani una mchumba, halafu unakuwa na rafiki wa kike urafiki wa dizaini hiyo
pambaffff kabisa, mchumba wako akifanya hivi itakupendeza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…