ukicheka na nyani utavuna mabua muulize akwambie waweza kumuuliza kijanja kwa njia ya utani hivi
Sijui ntaanzaje,hiyo jana nlitaka nimtanie hivi akawa keshaitoa
Naamini mmeamka salama na wengne tushafika katk majukum yetu ya kulijenga Taifa!
Kuna kitu nakiwaza tokea jana nisaidieni na nyie,
Kuna bint mmoja rafiki yangu nimefahamiana nae kama miez 4 imepita.
Tulikutana kanisani tukapendana coz tunafafana kwa vitu vingi ambavy sy kawaida kukutana na mdada wa dizain hy,yan tukitembea wte tunaonekna kama mapacha hv!
Ni rafiki mzur japo sijawah fika kwakw na yy hapajui kwangu huwa tunatembelea oficin cz pia tupo idara moja
Huwa ana tabia ya kukop dp yangu whatsp nikiweka na mie pia hivyo hivyo
Sasa jana nikaona kaweka picha ya mchumba wangu kama dp yake,(picha zangu hajawah weka)
Nikaona sikumuuliza nkamtext ty mambo mengine mwishowe akaitoa
(aliwahi kumuona mchumba wangu mara moja tu nilimtambulisha kijuu juu sidhan kama wanafahamiana zaidi ya kuonana siku hiyo moja!!
Sasa wakuu mie kweli apo nimedout hv,sijapendezwa nafikiria hata nipunguze urafiki,kiufupi sikumuelewa bidada
Ushauri wenu wakuu mawaz yangu yanaweza kuwa sahihi? Au nina wivu Tu?
Onyesha kukasirika kwa kitendo hicho,urafiki wa miezi minne kitu gani kulinganisha na mchumba umpendae!chukulia kawaida uje kuuguza maumivu ya moyo.
Hiyo picha ya mchumba wako kaipataje?
Kaicopy kwend dp yangu
Kam jamaa anawekaga picha ya mpenzi wake watsapp kuipata ni simple tuu.Hiyo picha ya mchumba wako kaipataje?
:angry::angry::llama::llama:Naamini mmeamka salama na wengne tushafika katk majukum yetu ya kulijenga Taifa!
Kuna kitu nakiwaza tokea jana nisaidieni na nyie,
Kuna bint mmoja rafiki yangu nimefahamiana nae kama miez 4 imepita.
Tulikutana kanisani tukapendana coz tunafafana kwa vitu vingi ambavy sy kawaida kukutana na mdada wa dizain hy,yan tukitembea wte tunaonekna kama mapacha hv!
Ni rafiki mzur japo sijawah fika kwakw na yy hapajui kwangu huwa tunatembelea oficin cz pia tupo idara moja
Huwa ana tabia ya kukop dp yangu whatsp nikiweka na mie pia hivyo hivyo
Sasa jana nikaona kaweka picha ya mchumba wangu kama dp yake,(picha zangu hajawah weka)
Nikaona sikumuuliza nkamtext ty mambo mengine mwishowe akaitoa
(aliwahi kumuona mchumba wangu mara moja tu nilimtambulisha kijuu juu sidhan kama wanafahamiana zaidi ya kuonana siku hiyo moja!!
Sasa wakuu mie kweli apo nimedout hv,sijapendezwa nafikiria hata nipunguze urafiki,kiufupi sikumuelewa bidada
Ushauri wenu wakuu mawaz yangu yanaweza kuwa sahihi? Au nina wivu Tu?
Nyinyi wote bado watoto
mwenzio anaweza kuwa hana nia mbaya..kaona amuweke 'handsome wako' ili na yeye awarushe watu kuwa ana 'handsome' anampenda.......not necessarily anamtaka.....utoto fulani tu.....
si ajabu na nguo mnaazimana.......na mnaitana dear and sweety.....mkikua mtaacha....
nini cha ajabu sasa, nyie si marafiki?!!
mbona jamaa yako keshakula mzigo!