Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 160
Kama imeandika emergence call ningefanyaje? Maana hata haiwaki kwa sasa na ukiweka chaji ukaishika pemben kuna shoti.Mmmhh kama ingekuwa imeandika "emergence call " ningeweza kukusaidia.
Alafu ni iPhone gani? Maana ya kwangu ilikuwa ikizima nikiweka kwenye chaji inawaka yenyewe.
Mmmhh kama ingekuwa imeandika "emergence call " ningeweza kukusaidia.
Alafu ni iPhone gani? Maana ya kwangu ilikuwa ikizima nikiweka kwenye chaji inawaka yenyewe.
Kama imeandka emergence call ningefanyaje?.maana hta haiwaki kwa sasa na ukiweka chaji ukaishka pemben kuna shoti.View attachment 1252582View attachment 1252583
Kama imeandka emergence call ningefanyaje?.maana hta haiwaki kwa sasa na ukiweka chaji ukaishka pemben kuna shoti.View attachment 1252582View attachment 1252583
Ushapigwa tayari!Nilinunua laki4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu ...View attachment 1252584View attachment 1252585
hiyo ni 7+ au 8+... hahah km ni 400k hapo ushapigwaNilinunua laki4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu ...View attachment 1252584View attachment 1252585