Hii iPhone 4 haina sehemu ya sim card, niitupe au?

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,839
2,000
Chek pemben upande wa kulia kunakitobo,tafuta sindano nyembamba sana uiprees hapo uone kama haitokei hyo pot ya cheap mkuuuu
 
g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
408
195
mzee sehemu ya kuweka line umeiona? Then kuweka line check pini ya kutolea sim card slot ili uweze kuweka sim card, na obvious lazima uwe umeikata line yako ili uiweke, insert your card then ur done
hope nimekujibu.
 
ub16

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
420
500
nimeletewa zawaidi kutoka American, lakini haina shemu ya sim card, nifanyeje?

Mkuu simu yako ni ya CDMA carrier, kama imetoka Marekani then simu hiyo ilikuwa on Verizon au Sprint ambazo kuna baadhi ya simu zao hazitumii sim card, especially za zamani kama hiyo iPhone. Ni kama zile simu za mkononi za TTCL au Sasatel, hazina SIM card slot but the phone is already tied to the network.
 
Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,062

Kwaiyo kaka hapo no way out?
 
ub16

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
420
500
Kwaiyo kaka hapo no way out?

As far as I'm aware hapana, your best shot itakuwa kucheki na TTCL or Sasatel if they can have it connected to their network and that can only work kama ina supported bands for networks zao mfano even in America ingawa Sprint na Verizon ni CDMA networks they have different bands unlike GSM networks where at least 2G and 3G bands are almost universal.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom