Hii inawezekana?

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,053
Nina account yangu ya IG ina followers wengi kiasi na niliitumia kipindi cha nyuma wakati u team umepamba moto. Sasa nimekomaa kiakili nataka niitumie kwa biashara. Tatizo sikumbuki password wala email niliyotumia kuifungua.

Wataalamu wa teknolojia mnaweza kweli kunisaidia ili niweze kuitumia hii account?
 
Hujawahi kuilink na Account yako ya Facebook? Ama namba ya simu?
 
Natamani nile hela yako ila ngoja kwanza ni [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…