Withdrawal of the penis ni njia ngumu sana ya kuzuia mimba
Hongera kwa kuwa baba mtatajiwa..lea tu
Au umepigiwa mkuu angalia usijekulea asiekuwa wako mademu nao hawaaminikii
hiyo yako mjomba unahitaji technique zaidi kutumia hyo njia. Ulitakiwa baada ya kupiz hapo nje upumzke kdogo then ukakojoe mkojo wa kawaida hapo unakua umeua sperms zote zilizobaki sa kama we ukitoa tu unarudishia dushe lako pengine hata kulifuta hulifuti hapo ujiandae kulea tu
Angaza hiyo haiepukiki siku hizi kwsbb kila mjamzito ni lazima aende klinik na mwenzi wakel.Usisahau na ANGAZA pia!!!loooh!!! pekupeku watu hawaogopi kabisa
Lazima uelewe kuwa mimba aihitaji dosen ya shahawa hata tone tu km girl wako yupo ktk danger zone! Hongera baba kijachoooo
Angaza hiyo haiepukiki siku hizi kwsbb kila mjamzito ni lazima aende klinik na mwenzi wakel.
Habari wapendwa, mimi nina mpenzi wangu ambaye amenijulisha kuwa ana mimba yangu hivi majuzi baada ya kwenda kupima, kwani alikosa siku zake.
Mimi nilifanya naye mapenzi bila kutumia kinga na nilikuwa natoa mbegu (shahawa) nje pale ninapotaka kufika kileleni. Sasa kinachonishangaza hiyo mimba, nimempaje au ninapofika kileleni kuna shahawa zinazobaki uumeni?
Kwani nilikuwa naenda hadi raundi tatu nilikuwa nikitoa nje ya uke juu ya tumbo lake alafu narudisha tena uume ukeni nakuendelea.
Je hii kufikia kilele juu ya tumbo lake linaweza sababisha mimba?
Ushauri wapendwa.
Pole ENT,hiyo ya kwako mkuu,just a drop of sperm can be fertilized,na mbaya zaidi ulivyokuwa unarudia huku Urethra ikiwa bado imejaa manii.Una mingapi?