KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,635
- 89,398
Ahsante mkuu..Pole sana mkuu
Shits happen in life
Huna budi kusahau na kumove on
Aluta continua
Ahsante mkuu..Pole sana mkuu
Shits happen in life
Huna budi kusahau na kumove on
Aluta continua
Yaani ni point ya msingi sana hii. Kila mwanaume mwenye akili anapaswa kulitambua hili. Kidume lazima uwe na wanawake watatu na kiendelea ulowa na mmoja unajichimbia kaburi tuuPole sana mwanaume haumizwi mara mbili ukiona kwenye mapenzi unaumizwa zaidi ya mars moja juwa ww ni dhaifu na usijaribu kuwa na mwanamke mmoja utalia maisha yako yote mwanaume kamili anaukuwa na wanawake zaidi ya watatu ata kama umeowa kilio cha mapenzi utakisikia Tu Acha na izi ngonjera et kuwa na mmoja ni anasa kijana furahia maisha yako
Ila kasema ana mapungufu yake Mkuu [emoji23][emoji23]
Huwezi tangaza mapungufu yako kama samaki kuwa tunajua hawezi ishi nchi kavuIla kasema ana mapungufu yake Mkuu [emoji23][emoji23]
Hakuna kitu ambacho huwa kinaniumiza sana kama hiki. Yaani huwa naumia sana, moyo wangu huwa na huruma sana ninapoona kuna mtu anaumia moyo kwaajili yangu na kwa namna yoyote huwa najitahidi kuwa sehemu ya furaha kwa wale wanipendao.
Lakini nina madhaifu yangu pia. Sina moyo uliopondeka, siwezi kuvumilia kuona mwanamke ananipenda but at the same time anampenda zaidi mwanaume mwingine yaan bora hata asingenipenda na asinipende ndo atazidi kuniumiza.
Inafikia hatua nafikiria kuishi kihuni tu, yaan nafikiri ningekuwa nafurahi tu kupitia maumivu ya wengine. Ile ile tu yaani hata kwa wanaonipenda ni kupiga tu na kutembea. Nafikir nikiishi maisha haya nitakuwa na furaha sana.
Nina msichana ambaye upendo wake kwangu ulinifanya niamini she was the one forever, i believed that she was my Eternal. Anasema ananipenda, alinipenda na atazidi kunipenda lakini Kuna mtu ambaye anampenda zaidi yangu na ni mwanaume wa maisha yake, wamecherish vingi sana.
Haya ni maneno ambayo yameshasemwa na karibia wanawake wawili ambao nimewah kukutana nao kwenye maisha yangu ya mahusiano ambao wamewahi kunionyesha upendo ambao ulinifanya nijione ni wa pekee lakini kilichokuja kutokea baadae ni maumivu makubwa.
Nawaza na najuta kuwa mwema, kuwa na upendo wa dhati kwa mwanamke anayetumia wakati wake wa shida kujiliwaza kwangu.
Haya ni maumivu yenye mafunzo makubwa sana kwenye maisha yangu ya mahusiano. Najua mimi ni binadamu nimeumbwa kusahau, lakini sitaweka kipaombele mawazo ya kuwa dhaifu kama binadamu...... Yataniumiza sana.
Haya ndiyo yanayonikuta sasa.
Nawasilisha kwa huzuni sana
Unahakika gani anakupenda kama sio ana pretend?Lakini nina madhaifu yangu pia. Sina moyo uliopondeka, siwezi kuvumilia kuona mwanamke ananipenda but at the same time anampenda zaidi mwanaume mwingine yaan bora hata asingenipenda na asinipende ndo atazidi kuniumiza.
Mwamba anacholia si kwamba amekosa wachuchu,bali wachuchu anaowaamini wanaishia kumliza tu,huyu mjuba inaonesha anapenda kuchili na Manzi mmoja lkn kila anayempata anaishia kumliza na kumwachia majonzi mithiri ya mtu aliyepigwa na bomu la machozi, hicho ndo kilio chake.Acha kulia wewe, wachuchu wapo wa kumwaga...
Utaambulia ngoma Mzee, Bora utulize Akili muombe MUNGU akusaidie ili umpate wa kutulia nae.Naingia chama la wana sio mda. Ngoja nipite kwanza hiki kipindi
AmenMsha ambiwa kila sehemu .ila mna kaza fuvu View attachment 2054094
Mfate PM omba kuolewa nae.Wahi fursa hiyo.Mbona mi Nipo single mkuu?
Bora anayelia hivi Mkuu, huyu ameshatoa sumu mwilini,kubaki na kinyongo moyoni ni hatari sana kwa Afya yako.