P PRINCEd JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 862 Reaction score 625 May 15, 2019 #1 Wakuu naomba tushirikiane kujuzana katika hili, inawezekana Plate no moja ikatumika magari mawili tofauti??
Wakuu naomba tushirikiane kujuzana katika hili, inawezekana Plate no moja ikatumika magari mawili tofauti??
P PRINCEd JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 862 Reaction score 625 May 15, 2019 Thread starter #2 PRINCEd said: Wakuu naomba tushirikiane kujuzana katika hili, inawezekana Plate no moja ikatumika magari mawili tofauti??View attachment 1098218 Click to expand... [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
PRINCEd said: Wakuu naomba tushirikiane kujuzana katika hili, inawezekana Plate no moja ikatumika magari mawili tofauti??View attachment 1098218 Click to expand... [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,858 May 15, 2019 #3 Hao ni mapacha
kingiti JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 201 Reaction score 95 May 15, 2019 #4 Hata mimi sielewi hapo
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,412 May 15, 2019 #5 Moja ni halali na moja ni magumashi ndio maana unaona polisi wanayakagua kwa ufasaha. Lazima moja chasis number yake haitaendana na ya kwenye kadi.
Moja ni halali na moja ni magumashi ndio maana unaona polisi wanayakagua kwa ufasaha. Lazima moja chasis number yake haitaendana na ya kwenye kadi.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 May 15, 2019 #6 Kwa vyovyote hapo ma file yameshapandana, tena yamepandania huko huko japan[emoji16][emoji16].
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,455 Reaction score 5,326 May 15, 2019 #7 Hapo kuna mmoja anatumia gari ya magumashi kati ya hizo mbili.
carter JF-Expert Member Joined Jan 23, 2009 Posts 3,664 Reaction score 4,274 May 15, 2019 #8 Mambo ya kukwepa ushuru. MANI said: Moja ni halali na moja ni magumashi ndio maana unaona polisi wanayakagua kwa ufasaha. Lazima moja chasis number yake haitaendana na ya kwenye kadi. Click to expand...
Mambo ya kukwepa ushuru. MANI said: Moja ni halali na moja ni magumashi ndio maana unaona polisi wanayakagua kwa ufasaha. Lazima moja chasis number yake haitaendana na ya kwenye kadi. Click to expand...