Hii inatokea Kenya tu

kudra hamidu

Senior Member
Jul 1, 2012
152
107
Gazeti moja,tarehe moja lakini habari tofauti!!

Sijui sababu ni nini?Ukabila?ukanda?mlengo wa kisiasa?

Mungu ibariki Tanzania

c4a99c2f86940506444c1fab2bc82639.jpg
bc4b3b634a09fe39abe891b0131c973e.jpg
a76f58da204605dd2df17b55335aef77.jpg
40b3a393f07b5363a33d50d292738f3d.jpg
 
Hueleweki aisee,sijui kithungu ndo shida?Sasa hapo nini cha ajabu,au ni jina 'fighting',umeichukulia kwa kiswahili kama kupigana makonde nini?Vita vya kisiasi na kisheria hivyo,usijiabishe bure tu!
 
Hueleweki aisee,sijui kithungu ndo shida?Sasa hapo nini cha ajabu,au ni jina 'fighting',umeichukulia kwa kiswahili kama kupigana makonde nini?Vita vya kisiasi na kisheria hivyo,usijiabishe bure tu!
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?
 
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?

Hehehe!! Nimekuelewa, kumbe tatizo lipo kwenye tarehe, ungewatonya wadau kwamba tuangalie tarehe, maana wengi tumeishia kusoma maneno ya taarifa.
Hilo hapo kosa la uchapishaji na naona kuna mtu atapoteza ajira. Makosa kama hayo hutendeka dunia yote, sasa ikitendeka Kenya huwa mnapata raha utadhani mnajipiga nyeto.
 
nyeto ten@??
 
Huko Kenya nasikia kila mkoa na gazeti lake.
 
Huko Kenya nasikia kila mkoa na gazeti lake.
Wala sio bahati mbaya asikudanganye huyo bwana MK254.
Kenya kila kabila linachapishiwa headlines zake.....si unajua tena NMG nao wanatafuta kuuza!
Hata gazeti lao la The East African ukiangalia la TZ headlines tofauti na la KE au UG.
Ukabila utawamaliza hawa jirani zetu!
 
Sasa mbona kama mnachanganya madawa vile, maana mleta mada haeleweki nini kinamkuna kuna, anayumba sana. Mara anaongea mambo ya tarehe za uchapishwaji, mara kaibukia kwa hili la mikoa. Ingelikua bora aoge, apige meno mswaki halafu aje akiwa freshi na kuwa tayari kujadili na Wakenya.

Hizo headlines unazoziona hapo ni za hali ya juu sana na hazifanani na magazeti yenu ambayo yamejaa umbea tu, huwa hayana jipya zaidi ya taarifa za Diamond na Wema. Hauwezi ukapata udadavuaji wa Kikenya kwenye magazeti yenu. Niliyafuatilia sana wakati wa siasa za kampeni, jamani yalikua so unprofessional, yaliishia kuchukua misimamo na kuegemea kabisa bila aibu. Wengi iliwabidi mtegemee magazeti yenye waandishi Wakenya kama vile Citizen.

Haya hapa magazeti yenu

1d7c1.png

lony-1.jpg
 
It is business, it is true they are different but just for business... news resonates with people differently... people want to buy stuff that seem relevant to them.
At least si gossip imejaa kwa top cover.
 
Business lakini huoni unawagawa wananchi?Then uchaguz ukifika mnalia eti 'Kenya ni moja'
 
kawaida sana hio, hata uingereza kuna toleo la jioni kwa magazeti ya the sun na evening standard na mengineyo.the customer is always right, thats a rule for any business so . Labda useme mambo ya ukabila, hapo kuna kimbimbi..
 
Kwa nini kila inapojadiliwa issue inayohusu Kenya, Kenyans wanachukulia kama ni mapambano flani?! Ujuaji ukizidi sana unakuwa ujinga
 
Hapo walengwa ni riftvalley,central na western regions sijui wale wa coastal mmewasahau?
 
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?

Inaitwa MAJIMBOISM

Taarifa zinazoongoza county ya kisii
Sio zile zitakazo ongoza kisumu ama Nairobi ama Mombasa

Kama leo hii kuna Serikali 47 kenya na moja kuu ya kati....

Hata USA gazeti ya Newyork itakuwa distributed across 50 states news za carlifonia sio sawa na za texas

Muwache ushamba sasa mungu abariki TZ KWANINI???
 
Gazeti moja,tarehe moja lakini habari tofauti!!

Sijui sababu ni nini?Ukabila?ukanda?mlengo wa kisiasa?

Mungu ibariki Tanzania

c4a99c2f86940506444c1fab2bc82639.jpg
bc4b3b634a09fe39abe891b0131c973e.jpg
a76f58da204605dd2df17b55335aef77.jpg
40b3a393f07b5363a33d50d292738f3d.jpg
Newspapers have different editions for different regions. You can also have more than one edition in a day if there is some breaking news. Only the front cover changes the rest is the same. It is just like Tz newspapers giving prominence to Tanzanian issues and Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi giving prominence to issues of interest to their readers.
 
Watajua wenyewe
ODM kwishne!!! tribalism is killing ODM, Luhyas are treated as secondary in ODM! Pili Raila anataka kuwa kama Maalim Seif wa Zenj yaani kinganganizi cha kuukwa urais 2017,possibly even in 2022 atangangania tu.
 
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?
Wewe ndo mvivu,unashindwa kujieleza kikamilifu kwanini?Hata hekaya za Abunuasi zinaeleweka virahisi sana kuliko habari yako!Mada ya hoja yako ni nini kwasababu nimeona unasema eti kila mkoa Kenya na gazeti lake?Upo 'serious' kweli au ni vioja tu?'Printing' ya Daily Nation na Sunday Nation zote zinafanywa Mombasa Road,NRB afu ndo wanazisambaza nchi nzima.Hizo 'copy' tofauti za gazeti ya siku moja zote zinapatikana kokote kule nchini Kenya!Huo ndo ueledi wa uanahabari wa Kenya.Hujaskia kuhusu 'Special Edition','Evening Edition' na 'Early Edition' kwenye magazeti?Gazeti zinachapishwa kulingana na habari zinavochepuka.Ama umezoea magazeti ya bongo yanayoandika habari za kina Wema Sepetu na dayamondi wiki nzima?
 
Back
Top Bottom