John (Haijalishi John ni nani) alikuwa na mary kusikojulikana...Akawa na cupcake ambapo hapakuwa na nyingine basi ikabidi washee hiyo cake...Bila John kujua kitendo kile cha kushea cake kilimfanya mary azidi kumpenda!
BTW: Mary na John ni couple
SWALI: Kushea chakula na mwenzi wako kuna nafasi gani katika ulimwengu wa mapenzi uupendao?
Hiyo cupcake ina maana nyingine ambayo sisi tumeimiss? It got to, maana topic ya PetCash imekuwa too easy. Is it a girl?
Sasa nimekubali wewe ni mgeni hapa.
niazimishe kilemba chako.kuna nafasi kubwa sana, kunaongeza umoja (oneness), na sio chakula tu hata mavazi n.k
niazimishe kilemba chako.
tugawiane nusu kwa nusu ili kuongeza upendoNina bonge la upara mwenzio ntaumbuka!