Ack
Member
- Dec 21, 2016
- 88
- 87
Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao, Sijui kwako ww iko vipi, Kwa hapa bongo nyimbo zinanisisimua nikisikiliza ni:
Kwang'waru harmonize ft Diamond,
Basi nenda ya Mo music
Nakupenda sana Hip hop by Roho saba.
nyingine kali ni hii hapa:
Kwang'waru harmonize ft Diamond,
Basi nenda ya Mo music
Nakupenda sana Hip hop by Roho saba.
nyingine kali ni hii hapa: