afu kweli kabisa hata mm huaga yananiboa sana...hahahahahahahahaha, yaani limeshusha injini Mara kibao bila kuogopa afu linakuja kujifanya linaogopa mjusi