Hii inamaanisha nini kwa matokeo haya?

Hii inamaanisha nini kwa matokeo haya?

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,724
MIKOA MITATU ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI KIDATO CHA NNE:
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Iringa

MIKOA MITATU ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI KIDATO CHA PILI:
1. Arusha
2. Iringa
3. Kilimanjaro

MIKOA MITATU ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI DARASA LA NNE:
1. Arusha
2. Iringa
3. Kilimanjaro.

Umeelewa nini?

Kutoka kwa Malissa

FB_IMG_1578605075703.jpeg
 
Kuna watu wameweka elimu kipaumbele..
Probably kwa ajili ya number kubwa ya watu wanaoamini imani fulani
 
Aaron Arsenal,
Kufanya vizuri kitaifa siyo issue. Hapo wnaangalia idadi ya wanafunzi.

Hata wewe ukiwa na darasa lako lenye wanafunzi 15 tu una nafasi nzuri zaidi ya kushika nafasi ya karibu kitaifa hata kama wanafunzi wako watapata Division 3 na four.

Kuliko mwenye wanafunzi 100 halafu wanafunzi wake wana Division one 20 , Division 2 na 15 na ZERO kibao.

Simple math.

Ulivyo mjinga unaweza kukuta ni mjagga unatafuta kijisababu cha kujimwambafai kama kawaida yenu.

Top Students hao hapo, mbona sioni kina Masawe.

----------------------

  • Joan Ritte (St Francis Girls- Mbeya)
  • 2. Denis Kinyange (Nyengezi Seminary- Mwanza)
    • 3. Erick Mutasingwa (Sengerema Seminary- Mwanza)
    • 4. Rosalia Mwidege (St Francis Girls-Mbeya)
    • 5. Domina Wamara (St Francis Girls-Mbeya)
    • 6. Mvano Cobangoh (Feza Boy’s- Dar es Salaam)
    • 7. Agatha Mlelwa (St Francis Girls- Mbeya)
    • 8. Sarah Kaduma (St Francis Girls –Mbeya
    • 9. Shammah Kiunsi (St Francis Girls – Mbeya)
    • 10. Luck Magashi (Huruma Girls- Dodoma)
 
Pongezi kwenu Iringa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom