Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Habari wanajamvi hivi karibu mpenzi wangu ameanza kuvaa cheni mguuni, hapo kati nilisikiaga kuvaa hivi vitu kwa mtoto wakike maana yake anatoa mazingira, nashindwa kumuuliza mpenzi kama anacheza huu mchezo asee hivi kuna ukweli wakuu hizi mambo na hiyo michezo
Tatizo hisije kuwa anatoa mazingira huko nje alafu mimi anaifanya bwege
Tatizo hisije kuwa anatoa mazingira huko nje alafu mimi anaifanya bwege