News Alert ??? How?
Haiwezi kupita siku hili jambo halijazungumzwa....
Bebi ila wewe hujawahi nifanyia hivyo pindi we are dating
Huyo dem mlikutana katika mzingira gani, kifupi hapo anakuwa anakukomoa anaye kupenda atahitaji kuwa wawili pekee bila kuwapo mwingine
Ingekuwa kama kweli bidada alitaka kuwatambulisha mashost hapo ingekuwa makbaliani baina ya wawil maana yake lazima mwanaume angejua ujio wa hao mashost na angejiandaaKweli kabisa mkuu...unapokutana na mtu unayempenda unahitaji faragha....hayo ya kubeba msururu ni kukomoana tu hakuna mapenzi hapo. Au pengine bidada aliamua kuwaoneshea mashosti kwamba ameopoa bonge la bwanaa...
Ingekuwa kama kweli bidada alitaka kuwatambulisha mashost hapo ingekuwa makbaliani baina ya wawil maana yake lazima mwanaume angejua ujio wa hao mashost na angejiandaa
Ukitaka sapraizi ujipange ujue namna ya kuwahudumia mashost wako sasa maana mimi nimejipanga kwa ajili yako tuWanaume huwa mnapenda kutambulushwa ovyoovyo? Ni mwendo wa sapraiz tu