Hii inakuwaje

Hii inakuwaje

kelvin82

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Habarini...hivi inakuwaje umekubariana na,dem wako kwenda kula bata mkakubaliana mkutane labda bar fulani au hotel fulani...unafika pale yeye kaja na marafiki zake watatu eti wamemsindikiza so gharama zote zinakuhusu....mbaya zaidi ww ulichelewa ukamwambia agiza kinywaji na kaagiza pamoja na marafiki zake...mwanaume hapo utafanyaje

En u galz inakuaje unakubariana na boy wako afu we unawachukua na marafiki zako ukitegemea boy kulipa bill zote?
 
Mkuu kuna mambo huwa yanatokea hapa duniani, hili nalo ni mojawapo kwa hiyo ni kujiweka nalo attention.
 
Una umri gani mpaka ushindwe kuelewa kinachomaanishwa hapo? hapo "demu wako" ameshakuona ----- na wanakutafuna haswaa, chezea mademu wa uswahilini....komaa kijana acha kulialia.
 
Kwanza huyo manzi wako ni mwanafunzi ana soma (Chuo)?
Ukinijibu ntakupa sababu ya yeye kufanya hivyo
 
Ha ha haaa.. kuna jamaa kule seacliff aliwaachia mademu bill akatokomea.. mara ya kwanza alijifanya anaongea na cm pembeni... then akarudi story na vinywaji vikaendelea.... alipotoka mara ya pili kuzungumza na cm hakurudi mpaka leo...!!!
 
Vijana wa kiume kuelewa mambo wagonu sana...
 
Haiwezi kupita siku hili jambo halijazungumzwa....
 
Huyo dem mlikutana katika mzingira gani, kifupi hapo anakuwa anakukomoa anaye kupenda atahitaji kuwa wawili pekee bila kuwapo mwingine
 
Huyo dem mlikutana katika mzingira gani, kifupi hapo anakuwa anakukomoa anaye kupenda atahitaji kuwa wawili pekee bila kuwapo mwingine

Kweli kabisa mkuu...unapokutana na mtu unayempenda unahitaji faragha....hayo ya kubeba msururu ni kukomoana tu hakuna mapenzi hapo. Au pengine bidada aliamua kuwaoneshea mashosti kwamba ameopoa bonge la bwanaa...
 
Ingekuwa kama kweli bidada alitaka kuwatambulisha mashost hapo ingekuwa makbaliani baina ya wawil maana yake lazima mwanaume angejua ujio wa hao mashost na angejiandaa
 
Ingekuwa kama kweli bidada alitaka kuwatambulisha mashost hapo ingekuwa makbaliani baina ya wawil maana yake lazima mwanaume angejua ujio wa hao mashost na angejiandaa

Wanaume huwa mnapenda kutambulushwa ovyoovyo? Ni mwendo wa sapraiz tu
 
Wanaume huwa mnapenda kutambulushwa ovyoovyo? Ni mwendo wa sapraiz tu
Ukitaka sapraizi ujipange ujue namna ya kuwahudumia mashost wako sasa maana mimi nimejipanga kwa ajili yako tu
 
Back
Top Bottom