Umenikumbusha chuo. Paper ngumu kuliko zote na huna tumaini, unaomba booklet twice. Wakali wa hilo somo sasa ndo wanaanza kuhaha. Kweli cheti sio uwezo, dah
Namba moja imeshanikuta sana aisee.... dah unajisikia kama wewe ni mbulula wa dunia. Na confidence za kuendelea kufanya maswali yaliyobaki inayeyuka🙁🙁🙁🙁🙁🙁