kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Apr 30, 2013 #1 Duh hii ni soo kama hutaki kwenda polisi watoto wa mjini wanakuchapa fimbo za kwenye masaburi
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Apr 30, 2013 #2 Huo ndiyo uTanzania ?
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Apr 30, 2013 #3 life is Short said: Huo ndiyo uTanzania ? Click to expand... Huu ndio uccm; mambo ni ya unyama unyama tu kama vile kung'oa watu meno na kucha kavu kavu!!
life is Short said: Huo ndiyo uTanzania ? Click to expand... Huu ndio uccm; mambo ni ya unyama unyama tu kama vile kung'oa watu meno na kucha kavu kavu!!
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Apr 30, 2013 #4 Bulesi said: Huu ndio uccm; mambo ni ya unyama unyama tu kama vile kung'oa watu meno na kucha kavu kavu!! Click to expand... Mkuu Bulesi, poleni ivyo imefikia hatuwa hii ? ivyo tunaishi karne yangapi ? najiona kama nimepitwa na wakati!!
Bulesi said: Huu ndio uccm; mambo ni ya unyama unyama tu kama vile kung'oa watu meno na kucha kavu kavu!! Click to expand... Mkuu Bulesi, poleni ivyo imefikia hatuwa hii ? ivyo tunaishi karne yangapi ? najiona kama nimepitwa na wakati!!