Hii inaitwa "Baab Kubwa"

Hii inaitwa "Baab Kubwa"

Ikitokea ajali,kumnyenyua huyo mshua mpaka winchi au akokotwe kwa break down.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah nilifikiri dogo kashikilia roba lisianguke
 
hahahahahaha......kuna watu wabishi wewe...kama kaleta ubishi kuendesha pikipiki atashindwa kupiga hizo makitu?? unaweza kuta jamaa yupo fiti ke akitoka hapo anaenda kusimulia...

SI unit nina uhakika huyu hata matuc hawezi kufanya, na asumani kichwa wazi amebaki kijojoleo tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom