Hii Inahitaji Tafakuri Jadidi

Hii Inahitaji Tafakuri Jadidi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
15.jpg
wakati mwingine mbwembwe kolezo zinatafakurisha sana
 
huyo wa sita atakua na supu
 
wa pili kutoka mwisho kulia amerusha juu zaid ya pale picha ilipoishia.kuthibitisha angalia macho yake hayaface kofia ya mwisho ila juu zaidi na macho ya wamwisho kulia yanaangalia kofia ya mwisho kabsa hata mkono wa wamwisho ukotargeted kudaka hivyo ina maana kofia yake iko karibu zaidi
 
uchambuzi jadidi pia, lumaniyisa upo mkuu?
 
wa pili kutoka mwisho kulia amerusha juu zaid ya pale picha ilipoishia.kuthibitisha angalia macho yake hayaface kofia ya mwisho ila juu zaidi na macho ya wamwisho kulia yanaangalia kofia ya mwisho kabsa hata mkono wa wamwisho ukotargeted kudaka hivyo ina maana kofia yake iko karibu zaidi

Na kubaliana na wewe katika hilo.
 
Back
Top Bottom