Hii inaboa sana...mmelazimishwa?

Hii inaboa sana...mmelazimishwa?

mkuu mbona umeongea kama vile unaishi na wapaka lipshine muda wote katika siku?

mjini wanasema kila mtu na hamsini zake, usije kudiriki kumsema hata mmoja face to face,

utachambwa mpaka ujute na kutamani ardhi ipasuke uingiemo kulaleki!
 
1098275_425965210847132_798721130_a.jpg
huyu ngamia nadhani ni bikra mpaka sasa!!!
 
huyu mbona uso, kifua mpaka mikono vina rangi tofauti tofauti??

1016716_410707425706244_1069638866_n.jpg


for whose benefit is she doing this?
 
Mi nilimpiga marufuku wa kwangu,nilimwambia akipakaa siku hiyohiyo anaondoka, maana njua zinasababisha kupungua kwa nguvu za kiume pale mnapokissiana na pia ukimeza mchanganyiko wa mate na zenyewe uinaharibu figo na ini kutokana na kemikali zinazotumika kutengeneza hizo lipshine.
 
Mi nilimpiga marufuku wa kwangu,nilimwambia akipakaa siku hiyohiyo anaondoka, maana njua zinasababisha kupungua kwa nguvu za kiume pale mnapokissiana na pia ukimeza mchanganyiko wa mate na zenyewe uinaharibu figo na ini kutokana na kemikali zinazotumika kutengeneza hizo lipshine.

ingekuwa ni hvo watu wengi tungekuwa tuna matatizo uliyoyataje acha baby wako apendeze kwa vile upendi hvo vitu ndo unaongea madhara yake
 
Jamani kinadada hakuna kitu kinaniboa kama hizi lipshine na lipstiky yaan mkishazipaka baada ya muda kidogo huwa kuna utando mweupe ka maziwa mgando hutokea kwenye lips hasa asipoongea kwa muda yaani huwa nasikia kinyaaa na kutapika.khaaaaa yaan inaboa. kwan urembo haukamiliki bila kupaka hizo lipshine.

sipendi,nasema tena sipendi mnakera sana.

Kweli kabisa mkuu!!
 
Mwambie huyo alokukera, afu watu wengine kwa kujibalaguza tu hapa mnapoonda ukikutana na mtoto mashallah lips yaku slide imependeza unadata

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mbona sie wengine hatuna huo utando labda demu wako ana fungus za mdomo
 
Back
Top Bottom